
social.group.members
🇹🇿🕌 A group for Muslims in Tanzania, where we celebrate our faith and cultural diversity.
Allah atupe subra kwa yote tunayopitia🤲
Assalam alaykum
Allah atupe neema zilizo na kheri kwetu inshaallah 🙏
Moyo wa mtu ni kama maji ya mto,
kuna nyakati hutiririka taratibu bila madhara, kiasi kwamba unaweza kuyaelekeza na kuyatumia kwa amani.
Lakini pia kuna nyakati huja kwa kasi kubwa na mawimbi mazito.
Wakati huo si jukumu lako kuyazuia, bali kuyaacha yapite hadi yatulie.
Na yakishatulia, ndipo unaweza kuendelea tena na safari na matumizi yako kwa utulivu......Sababu ukishindana na kasi ya maji, hata wewe yanaweza kukuletea madhara.
Ndivyo ilivyo kwa moyo wa mwanadamu, kuna hisia hazihitaji kupingwa kwa nguvu, bali kupewa muda zipite na zitulie zenyewe.
Maana wakati mwingine utulivu haupatikani kwa kupambana, bali kwa kusubiri mawimbi yapungue.
Asalam alaykum habarini ndugu zangu
Alhamdulillah Alhamdulillah for everything
Is there muslim sister located in arusha we can join going to training ourselves reading quran we might choose a place according to location