
1,521 members
🇰🇲🕌 A group for people in the Comoros to connect, support one another, and enjoy meaningful conversations.
@abdoulkarim511047
Hii
@Medyyaaa
Ikiwa kipenzi chetu mtume Muhammad SWA miongni mwa mmwake zake moja alikua amemzd umri wew kama nani unamdharau mtu kisa umemzid miaka lakini anglia Ibra na Mwanamke mchaa mungu amekubali kuish na Mtume wetu kipnz chetu mpk mauti yamefika wew unae dharau watu visa ya make up zako unajiona hamn mtu anae kuweza ukumbuke kua walikuepo wazuri kuliko wew na leo hawapo tena sasa fanya jeuri usidharau mtu akiw mdgo au mkubw
Pia mwanaume Atabk tu kua kiogonz wako at km iweje